Hii ni picha ya Karne, makamanda hawachoki

Chadema Ina utaratibu gani wa kutafuta walinzi?
Au ndo mwenyekiti akiamua" Sawa tu"
kuweni makini na hao watu wa JWTZ.
 
...halafu mkikamatwa tena mnakuja kulialia hapa..hivi intelligence yenu inafanya kazi sawasawa? Mnaajiri kweli JWTZ kuwa walinzi wenu?
 
...halafu mkikamatwa tena mnakuja kulialia hapa..hivi intelligence yenu inafanya kazi sawasawa? Mnaajiri kweli JWTZ kuwa walinzi wenu?
Acha upumbavu, shirikisha uelevu wako hawa ni watanzania, ex members wa tpdf na wana haki ya kwenda popote kutafuta riziki yao,na elewa jwtz ni la watanzania na linawajibika kwetu sio Chama dola pekee, endelea kuwa mwamba wa kulalama kwenye keyboard
 
...halafu mkikamatwa tena mnakuja kulialia hapa..hivi intelligence yenu inafanya kazi sawasawa? Mnaajiri kweli JWTZ kuwa walinzi wenu?
Kwanza sema unajua kama yupo aliyemiminiwa risasi na je unajua kama yupo aliyevunjwa mguu na wahuni, yote hiyo unajua iliwezekanaje, ukija na majibu huenda ukawa umeelewa kwani hali iko au imekuwa hivi.
 
Mbona kwenye makampuni ya ulinzi wamejaa kibwenaa! Yule kanali mstaafu mkuu wa kitengo cha mambo ya nje yeye anafanya nini pale mbogamboga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…