Hii ni presha peke yake au kuna gonjwa lingine?

Bandu Ncheche

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2016
Posts
512
Reaction score
326
Ni mwezi mmoja na siku kadhaa sasa tangu niambiwe na bp ya kupanda,wakati mwingine nakosa nguvu tu ila wakati mwingine nakuwa na hofu muda wote kila kitu nashtuka,simu ikiita inakuwa shida,nikiwa nimekaa peke yangu au hata tukiwa wengi halafu ghafla akatokea mtu mwingine mapigo ya moyo hunienda mbio hatari,yaani nakuwa Kama nimeona kitu cha hatari ambacho kimekuja kunidhuru,Sasa nataka kufahamu kutoka kwenu wanaJF wenye bp msiokuwa na hili gonjwa pamoja na wataalam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BP peke yake inaweza kuleta hayo yote.
Ila ushauri wangu kwa mtu yeyote mwenye BP hasa ya kupanda kama uwezo unaruhusu apime magonjwa ya moyo, kisukari na lipids profile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inakubidi kujimudu kutoogopa.. Fat Joe hakuogopa alivyosikia Big Punisher kafa.. uzito unasemekana huambatana na BP ila yeye haamini katika hilo.. nakushauri Mtafute Mmasai au Mkuria Original akusaidie kuandaa menyu ya Asili ya Mashujaa[Nyama ya Mbuzi inachanganywa na mizizi asilia ya kitabibu,au Ghichuri ya Mbuzi aliefugwa Porini anakula mimea tu!] haina uhusiano wowote na mizimu wala ushirikina,hofu inayosabisha una panic itaisha.
Hofu inayokusibu ndio inafanya Moyo wako unakimbia muda wote wakati hakuna shari yaani ni kwamba unakuwa kichwani kwako umejenga taswira fulani kabla ya kutokea jambo halisi.Mfano rafiki kipenzi anaumwa, unaenda kumcheki hospitali ukitumaini ni mzima lakini unapofika katika korido ya wodi unakutana nesi anayemwuuguza anasukuma kitanda cha matairi kilichobeba mwili wa mtu,moyo utakimbia sana japo haujafahamu kama ni rafiki yako au ni mgonjwa mwingine.
Hofu inaweza kuwa inakusibu sababu ya:
1.Madeni
2.Vifo ulivyoshuhudia au unavyohisi vitatokea
3.Mtihani au Kesi
4.Kukosa Tumaini Kukatishwa tamaa na wanafamilia
5.Kutengwa
6.Kuwindwa na Nguvu za Giza
7.Chuki za wafitini na Kutishwa n.k
Wadau waje wakupe mbinu za kuondoa Hofu;
1.Kushiriki Michezo
2.Kutokukaa na wanafiki
3.Kupata Hewa safi na Chakula kisicho na Caffeine nk
4.Kusali [Sala yenye lengo la kujipa Moyo na Mori
5.Kusikiliza nyimbo za kishujaa (Kamwe usisikilize nyimbo za Maombolezo au Mapambio ya ufufuko mpaka utapokuwa umepona)
.............Ngoja wadau waje
 
Naomba nisaidie kumpata mtaalam wa mambo hayo hasa unasaini tafadhali !
 
Lazima ukubali kusafiri kwenda Monduli au Ngorongoro au Simanjiro.Jinsi ya kumpata mtaalam inakupasa kutafuta mtu yoyote wa jamii ya Masai akupe mwelekeo wa kufika huko kwao kati ya maeneo niliyokutajia ukifika huwezi kukosa msaada maana ni Chakula cha tiba tu Maasai wana roho nzuri si watu feki ila kumbuka vigezo nilivyokutajia kuhusu hofu uvizingatie
 
Sina ninaemjua huko!
Sijawahi fikaga!
Nani atanishika mkono?!
 
Lazima ukubali kusafiri kwenda Monduli au Ngorongoro au Simanjiro.Jinsi ya kumpata mtaalam inakupasa kutafuta mtu yoyote wa jamii ya Masai akupe mwelekeo wa kufika huko kwao kati ya maeneo niliyokutajia ukifika huwezi kukosa msaada maana ni Chakula cha tiba tu Maasai wana roho nzuri si watu feki ila kumbuka vigezo nilivyokutajia kuhusu hofu uvizingatie

Sawa , hivyo vigezo nitaviandika na kuvifanyia kazi kwa faida yangu na kusaidia wengine!
 
Back
Top Bottom