Hii ni rushwa iliyojificha

Hii ni rushwa iliyojificha

Mwisaki

Senior Member
Joined
Mar 9, 2014
Posts
168
Reaction score
55
Nimekuwa nafuatilia kidogo masuala ya elimu,ila hapa nasema kweli.huu ni wizi uliopindukia jamani matoke ya kidato cha 4 ni wizi wa kisiasa kuwarubuni wananchi ione wamefauku kumbe nia ni kujinufaisha kisiasa.Nchi imeyumba yaani shaghala bagala we umeona wapi elimu ikachanganywa na siasa narudia kusema wizi mtupu,sera mbovu,usimizi mbovu hawana ubunifu na tutazidi kuwaona wakenya kwenye soko la ajira hadi 2ukome. division 4 unaenda form 5 mwaka huu hee kalaghabao hii ndo TANZANIA.ufisadi hadi kwenye msingi wa maendeleo kazi kwenu.
 
Back
Top Bottom