Hii ni sababu ya huyu mwanaume kulewa✔

Hii ni sababu ya huyu mwanaume kulewa✔

Bishop Hiluka

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
7,147
Reaction score
14,699
MWANAMKE: Mpenzi, nakuomba uache kulewa

MWANAUME: Poa, na wewe acha kutumia make up

MWANAMKE: Mimi napaka make up ili unione mzuri

MWANAUME: Na mimi nalewa ili nikuone mzuri

Pombe ni noma…
 
Back
Top Bottom