HII Ni SAHIHI KWELI?

HII Ni SAHIHI KWELI?

hahahhaha umenifurahisha kwakweli,,, mimi my man ndo alivyo na miaka yote niliyokaa nae tokea tujuane hajaacha kunitamkia i love you kila akipiga,,, wasiwasi wa nini mama,, unless kama unahisi lake jambo na ni tabia aliyoianza juzi juzi!!! otherwise hebu chill kisha ufurahie bidada.... ok... nawasilisha mamii
 
Duuh! Sio tatizo.

Nahisi unataka akuache!
 
Too much of everything is harmful so to speak. Namshauri ajaribu kusema I hata you or cheat you huenda utaacha wasi wasi binti yangu.
 
what i believe is, mtu anatekwambia i love you mara nyingi kuliko kawaida, kuna dalili ya udhaifu mahali, either ana cheat, au ni mtu wa hivi hivi, i mean ni mtu wa maneno tu bila vitendo
 
Dah nimeamini human behaviour ni very complicated!!nibora usome tabia za wadudu kuliko binadamu! Sasa hapo wasiwasi wako nini??asipokwambia I love u utamletea kesi na kumshutumu eti hakupendi. akikwambia I love u nayo pia shida unadhani sio sahihi!!dah! kazi kwelikweli inabidi abadilishe awe anasema Solidarity.......then we ujibu forever km mwanachama wa TUCTA! nadan itakuwa neutral!
 
mi napiata wataalam watakuja mda c mrefu...
 
Makubwa leo...! it seems ww humpendi mwenzio so kila akuambiacho unaona anakuboa! kwenye mapenzi tumia organ ya moyo na sio ubongo....!
 
Sahihi ni kile unachokioa wewe binafsi kuwa sahihi!
 
Dah nimeamini human behaviour ni very complicated!!nibora usome tabia za wadudu kuliko binadamu! Sasa hapo wasiwasi wako nini??asipokwambia I love u utamletea kesi na kumshutumu eti hakupendi. akikwambia I love u nayo pia shida unadhani sio sahihi!!dah! kazi kwelikweli inabidi abadilishe awe anasema Solidarity.......then we ujibu forever km mwanachama wa TUCTA! nadan itakuwa neutral!

hahahaaa, ncheke mie. solidarity forever tena kwny mapenzi!
 
Hivi ni sahii kwa mwanaume wako kukwambia I love u kila anakupigia simu?? Maana mpka mtu unakuwa na wasiwasi!

Ndio kwa mapenzi mapya ambayo motomoto! Subiri mda tu upite then utakuja kuuliza mbona zamani alikua ananiambia I luv you lkn siku hizi hasemi?
 
what i believe is, mtu anatekwambia i love you mara nyingi kuliko kawaida, kuna dalili ya udhaifu mahali, either ana cheat, au ni mtu wa hivi hivi, i mean ni mtu wa maneno tu bila vitendo

We ni mtu hivi ha mtu hivi hivi haujali hata hata kidogooo(Rabit-Mtu Hivi Hiv) kwa wakenya mtu hivi hivi mtu ambae hasomeki aka waluwalu hana staa mtu wa kufanya mambo ya ajabu ajabu!
 
Back
Top Bottom