HII Ni SAHIHI KWELI?

HII Ni SAHIHI KWELI?

Binadamu tunatofautiana kuna wengine wanapenda sana kusikia maneno hayo matatu matamu na wengine hawapendi kuyasikia. Kama wewe hupendi kuyasikia basi mwambie njemba kwamba unakereka kusikia akitamka "I love you" kila wakati.



Hivi ni sahii kwa mwanaume wako kukwambia I love u kila anakupigia simu?? Maana mpka mtu unakuwa na wasiwasi!
 
Last edited by a moderator:
binadamu bhana,ukiambiwa mara nyingi unapata wasiwasi,usipoambiwa napo unapata wasiwasi.Ufanyiwe nini sasa?
 
duh, yaani hupendi ambiwa unapendwa??

Kweli bin adam ni wagumu kuwaelewa sana lol
 
Mchunguze vizuri huyo jamaa yako kwa hayo asemayo, Kama yana ukweli wowote au anasema tu kuficha mambo fulani fulani anayotenda kinyume.
 
Hivi ni sahii kwa mwanaume wako kukwambia I love u kila anakupigia simu?? Maana mpka mtu unakuwa na wasiwasi!

Wewe ndio ungenifaa manake mimi hilo neno "i love you" huwa halipo kichwani kabisaaa. Matokeo yake nalaumiwa kuwa kwa nini silisemisemi.
 
mwanaume wako=buzi lako!
Hapo sishangai sana ukikasirika!
 
ndio binadamu na hivyo ndo walivyo tuchukulie mfano yeye hakutell about that love issue kwa miaka mitatu how will you feel?
Mi niko na kibinti hakijawai sema hilo neno hata ukituma sms utasikia ok
jifunze kuishi na mtu kama alivyo its hard to change a person
 
Hahaha! Wasiwasi wa nini sasa? Weye ukikaa kila saa unamulika mwizi tu! Tochi itaisha mabetrii,ohooo!
 
Kuwa na amani, kukwambia I love u ni jambo la kawaida. Endapo asingekwambia ingekuwa mada nyingine.
 
Waafrika tunashangaza sana, ukiambiwa I love u, una uliza maswali, hukawii siku moja kusema mbona hanipigi, maana kuna watu eti akipigwa ndiyo anaona anapendwa na mtu. Hilo neno zuri sana la kukufanya ujue uko peke yako! wengine huita sweety! Hny! My love, etc, etc, be cool and enjoy maisha.
 
Mbona raha jamani...si ujibu I love you more au I love you babes/hun!!

siku nyingine utamlazimisha akwambie I love you na akishindwa utahisi kuja jambo baya...Acha kuwaza -ve!! Embrace the love you've!!
 
Dah me napenda kuambiawa hivyo... Kuwa na furaha umepata wa kukwambia mwingine atamani kuambiwa hajapata wa kumwambia
 
kwa hyo wax ni kuwa anadanganya au??njia kuu ni kuongea nae kwisha
 
Wengine wanazililia hizo i love u, wewe unaambiwa i love u everyday unaquery? Subiri siku atakapokuambia i hate you
 
Back
Top Bottom