Hii ni salama kiafya?

banalunda

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
231
Reaction score
67
Wakuu habarini za majukumu?

Naomba kwa wataalamu nijuzwe hili, mke wangu ametoka kujifungua miezi miwili na nusu iliyopita kwa operation, Thanks God alijifungua salama.

Sasa issue ni kwamba sasa ni miezi miwili na nusu imepita na amecheki amekuta anamimba tena.

Je is it safe kwake kulea mtoto huyu na hiyo mimba?
 
Kwahiyo unatakaje hata miezi sita haijafika umeamua kukojolea humohumo huna jinsi azae tu
 
ee iyo ni very risk,ila mkuu mbna ulikuwa fasta ivyo
 
Ni risk sana hasa ukizingatia huduma mbovu za afya tulizo nazo, kwa kuwa ni mimba changa ni bora ikatolewa kwa sababu za kiafya na usalama. Pia upunguze kasi
 
Hili ni tatizo kaka,angekuwa kajifungua salama tungesema jitahidi kulea...ila kikawaida si vizuri mtu aliyejifungulia kisu kuwahi kubeba mimba ,unatakiwa ukae miaka miwili ili layer za ngozi ziwe zimepona.Japo kuna wifi yangu aliwahi kuzaa baada ya mwaka kwa njia ya C japo alikuwa hafanyi kazi yeyote mpaka siku ya kujifungua.Nenda hospitali pia ili akapimwe ni jinsi gani hilo kovu linaendelea huko ndani lisije likaleta tatizo,pia ni vizuri kutumia njia za kuzuia mimba mama akiwa katika hali ya kunyonyesha.
 
Kiukwel hlo ni tatizo umewah sn bro tn mimba ya kwanza opereshen thn ki2 kingne ndan,nenda hosptl ukawaelezee wajue watakusaidiaje..pole.
 
Basi mie nilijua mtu akifanyiwa operation no jigijigi hadi miez sita ipite!
 
risk ya "uterine rupture" ni kubwa sana, hata bila uchungu na kabla haijafika miezi 9, kamwone Daktari upate ushauri sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…