Hii ni sarafu ya nchi gani na ina thamani gani?

Hio ni sarafu ya korea hayo maandishi ya kikorea
 
Thamani yake kwa hapa bongo ni cent 0.01 ukiipeleka Uganda utapewa cent -0.00000001
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…