SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Nimetoa mahali mie sio muhusika huyu mtu anaomba ushauri wenu.
Anaishi na mkewe na wameoana ila mke wake anamkasirikia maana huyu kaka analala kitanda kimoja na namama yake. Yeye amesema wala hana mauhusiano ya mapenzi namama yake ila anaona raha kuwa na mama ake kila mahali.
Anamtoa mama yake out, anamwambia mama yake kila kitu anachofanya namkewe hadi wakifanya mapenzi eti kama anamridhisha au lah mama ndio anamua. Mama yake huingia chumbani mwa huyo mwanae na anamfulia nguo nakumpikia chakula apendacho. Na ikifika ijioni anaenda kulala kwa mama sio chumbani kwake na mke wake.
Anaomba ushauri kwanini mke wake anakasirika ilihali yeye hana kosa lolote nikulala na mama yake tu tena kitanda kimoja?
Anaomba ashauriwe.