Hii ni sawa TiGO wanachofanya na TCRA wanafanya nini?

Hii ni sawa TiGO wanachofanya na TCRA wanafanya nini?

RoadLofa

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
1,509
Reaction score
3,313
IVI TIGO WANACHOFANYA ni sawa kweli kumuunganisha mteja na huduma bila idhini yake Kisha kumpa kazi ya kujiondoa, nashangaa sana sijui wizara ya tech na habari na mawasililiano na TCRA,WANAFANYA kazi Gani, au ndo wanakazi ya kutetea telecom companies

Screen shot iyo hapo chini ya sms waliyonitumia
Screenshot_20230406-110539.png
 
IVI TIGO WANACHOFANYA ni sawa kweli kumuunganisha mteja na huduma bila idhini yake Kisha kumpa kazi ya kujiondoa, nashangaa sana sijui wizara ya tech na habari na mawasililiano na TCRA,WANAFANYA kazi Gani, au ndo wanakazi ya kutetea telecom companies

Screen shot iyo hapo chini ya sms waliyonitumia View attachment 2578252
Hao TCRA wana mechanisms za kupeleka malalamiko humu tutakuonea huruma tutasepa, fuata chaneli
 
Mimi kama Napolean Moses wa Nyauye a.k.a Diego Armando Maradona (Mzee wa bao la mkono) kauli yangu ni kwamba Tigo wako sahihi, jiondoe mwenyewe kwenye hiyo huduma.
Ndo uwa majibu ya waziri wetu
 
Wqtanzania hatujaliwi na viongozi na wala hawatowahi kutujali wananchi wao hata sku moja
 
inasikitisha sana wizi mubashara
 
Na wanakuunga na pesa wanakata, asee niliwapuigia nikawamind sana.
 
IVI TIGO WANACHOFANYA ni sawa kweli kumuunganisha mteja na huduma bila idhini yake Kisha kumpa kazi ya kujiondoa, nashangaa sana sijui wizara ya tech na habari na mawasililiano na TCRA,WANAFANYA kazi Gani, au ndo wanakazi ya kutetea telecom companies

Screen shot iyo hapo chini ya sms waliyonitumia View attachment 2578252
Wewe utakuwa umetegeshewa kitufe halafu ukabonyeza bahaticmbaya bila kujua, ni uhuni tu
 
Amini usiamin umejiunga mwenyewe kwa kutokujua nilifanyakaz call center nikawa na access ya kuona case kama hizi kwa systems, hizi huduma zao zimekaa kimtego hatari wanakutumia msgs kibao ukijitusu tu kureply ata kwa kutukana apo apo wanakupongeza kwa kujiunga na kujitoa ni vita lazima waruke na miamala miwili mitatu kwanza
 
Back
Top Bottom