Burure
Member
- Jul 25, 2024
- 42
- 96
Tumeona jana mwenyekiti wenu akisema masuala ya ndani ya chama chenu ya yeye kuendelea kuwa Mwenyekiti ni yenu binafsi.
Hivyo basi msiwe mnatushirikisha sisi raia wa kawaida kuhusu mambo yenu na ikitokea mkaonewa kaeni chini na waliowaonea na kutafuta solution na sio kutoka nje na kuanza kuilaumu serikali ya CCM ikiwa hata nyie mkipewa hii Nchi mtaiongoza kama wao au hata chini zaidi kuliko wao.