Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Zipo nyingi sanaKwanza tutajie hizo kapo ni zipi
Mkuu naona unakamatia fursaAliye single a like hapa Nimwonyeshe Dunia inavyozunguka kutoka North to South Pole
Hiyo ya kwanza ndo Mfalme na Malkia wa couple za Jf.Zipo nyingi sana
Mshana jr vs demiss
Mahandow vs smart
Yna4 vs vlad
Shunie vs asiejulikana
Sakayo vs asprin[emoji23]
Haha hamna maigizo mkuuBongo movies.....
Hahaha si inaongozwa kichawiHiyo ya kwanza ndo Mfalme na Malkia wa couple za Jf.
[emoji23][emoji23][emoji23] hahaha kabisaaaHahaha si inaongozwa kichawi
Basi mimi na HajarUtani wa ngumi huu Mangi kwa Mali za watu.
Aisee.. Og ni ipi?Mimi nipo na Jolie jolie