Hii ni special kwa zile couple za JF

Hii ni special kwa zile couple za JF

Kwa wale wenye wenza wao humu jf kama usingekua na huyo uliyenae sasa ungetamani kuwa na nanii humu??
Huu ni uzi wa kuwa huru na kufunguka hata kama yupo hapa wewe usimwogope sema tu kama siyo yeye nani ungependa kuwa nae.

Mimi nipo na Jolie Jolie wangu ila isingekua yeye basi Mzigua90 ningependa kuwa nae. Jolie upo free na wewe kumtaja yoyote ambae unaona kama sio mimi basi ingekua ni yeye


Msiwe serious sana hii ni chit chat

Vita unayotaka kuianzisha mkuu sijui kama utaweza kuizima.

Mimi nakuangalia tu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] basi ngoja nibaki na mumu wangu tu maana naona chitchat inataka kuwa vita humu....am sorry braza Daby ni kufurahia ushindi wa jana tu hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
haya bhana shukrani... ngoja nami hao uliowaacha niangaze macho hapo hapo.
 
Back
Top Bottom