Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ngoja nimalizie hii naniii hapa nitaongeza tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa kiongoz..ongeza list hyo
Mh....uchokozi sasa huo....au ndio unasimamia wajibu wako?Kumbe hapo ndipo usingizi wako eeeh.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] sitaki mbadala nyama ni ile ile
unakata rufaa ya nn?hapana nakata rufaa.
Kwa wale wenye wenza wao humu jf kama usingekua na huyo uliyenae sasa ungetamani kuwa na nanii humu??
Huu ni uzi wa kuwa huru na kufunguka hata kama yupo hapa wewe usimwogope sema tu kama siyo yeye nani ungependa kuwa nae.
Mimi nipo na Jolie Jolie wangu ila isingekua yeye basi Mzigua90 ningependa kuwa nae. Jolie upo free na wewe kumtaja yoyote ambae unaona kama sio mimi basi ingekua ni yeye
Msiwe serious sana hii ni chit chat
wewe ndiye umetunyima uhuru bwana... Unachaguaje wengi hivyo.unakata rufaa ya nn?
mbona unaninyima uhuru wangu braza...!!![emoji20][emoji20][emoji19][emoji19]
kuna ambae ungetamani kuwa nae hapo nikupe[emoji3][emoji3]
Ooooh thenkiyuuuuuHaaa wewe ndio umeelewa dhima ya uzi sasa,konguratulesheni
Na ndumbaaaaaHahaha si inaongozwa kichawi
Mfyuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23] hahaha kabisaaa
Haaahahaa kwani wee Muraaaaww tungewezana kweli!!!!! unavyopenda kudeka ww hahaha ningeumwa kichwa hadi basi [emoji125][emoji125][emoji125]
wewe kesi yangu haijaisha niliiarisha tu.Mh....uchokozi sasa huo....au ndio unasimamia wajibu wako?
Ney wangu hana mbadala [emoji379]matatizo gani tena braza!![emoji15][emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii kali ya week[emoji23] [emoji23] [emoji23] sitaki mbadala nyama ni ile ile
[emoji23][emoji23][emoji23] basi ngoja nibaki na mumu wangu tu maana naona chitchat inataka kuwa vita humu....am sorry braza Daby ni kufurahia ushindi wa jana tu hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]wewe ndiye umetunyima uhuru bwana... Unachaguaje wengi hivyo.
chukua walau wawili.
Acha nitafute Hakimu wakuisimamia.....wewe kesi yangu haijaisha niliiarisha tu.
haya bhana shukrani... ngoja nami hao uliowaacha niangaze macho hapo hapo.[emoji23][emoji23][emoji23] basi ngoja nibaki na mumu wangu tu maana naona chitchat inataka kuwa vita humu....am sorry braza Daby ni kufurahia ushindi wa jana tu hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji14][emoji14][emoji14]Mfyuuuuu