Mr Miller
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 11,449
- 25,768
ww sikushangai kabisa, unahitaji mwanaume kutoka Jupiter [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi bado sijaona wakunifa hapa jamii forum wote ni nyoronyoro na wazee wakulialia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ww sikushangai kabisa, unahitaji mwanaume kutoka Jupiter [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi bado sijaona wakunifa hapa jamii forum wote ni nyoronyoro na wazee wakulialia
sawa likolo [emoji38][emoji38]Ndo namalizia course kwanza, vumilia kidogoooo
Hahah yani ungekuta na mtoto tushaleta hapa duniani[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani uchumi haupo fixed eti, afu no situation is permanent. Ungekomaa tu, sasa ukishakuwa inferior dooh
[emoji23][emoji23][emoji23] ukorofi huoww sikushangai kabisa, unahitaji mwanaume kutoka Jupiter [emoji23][emoji23][emoji23]
Heee mbona nimekutajaHivi nina mbadala kweli!!!
No! sina mbadala
Nilitaka kumjibu hvyo hvyoww sikushangai kabisa, unahitaji mwanaume kutoka Jupiter [emoji23][emoji23][emoji23]
Haha..nimeona umenitaja...ila bado sijaona mbadala wa vladHeee mbona nimekutaja
Hahaha shem jamn hta mim sifai?Haha..nimeona umenitaja...ila bado sijaona mbadala wa vlad
Haha shem kwa mbaaaaaaaliiiii..[emoji6]Hahaha shem jamn hta mim sifai?
Hahaha hyo hyo inatoshaa shemHaha shem kwa mbaaaaaaaliiiii..[emoji6]
Uwe unachangamkia fursa oooh. Sasa hivi ukikaona kengine kadake fastaHahah yani ungekuta na mtoto tushaleta hapa duniani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilimwambia mtu katika uzi flani nikiwa mkubwa nataka kuolewa na King Mswati... hahaha sio kwa msg hizi private.Toka niingie humu ndani, kuna wanawake kama 11 sijui nani anafit wapi au wapi. Ila wamekuwa ni sababu ya mimi ku-interact humu ndani na kuizoea hasa MMU.
With no particular order:-
These women mean a lot to me, as friends. Sina ninayemchagua zaidi ya mwenzake, ila nina uhakika ningekuwa sijachagua huku nje nikatakiwa nichague kati ya hao ningepata wakati mgumu sana.
- Evelyn Salt
- Mzigua90
- Inna
- Mambembe
- Amu
- Mama Sabrina
- Cikey
- Shunie
- Raynavero
- Lynne
- Culture Gal
Wakati mwingine huwa nikiwaza hivyo namwelewa King Mswati.
Si ndio nimemdaka Jolie Jolie mamiiiUwe unachangamkia fursa oooh. Sasa hivi ukikaona kengine kadake fasta
Oya bro tafadhali usintafute ukali, usimwite baby she is my girlhapana baby..nilikuwa nalinda maslahi yetu....au bado upo kwa Iceman 3D mimi umeniacha[emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji29] [emoji29] [emoji26] [emoji26]
Sent using my Galaxy S5
Naona damu zikiruka hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Oya bro tafadhali usintafute ukali, usimwite baby she is my girl
Aaaanampenda shemeji yangu braza [emoji1][emoji1]
Aaah kumbe tayari, namna hiyo ndo inatakiwa sasaSi ndio nimemdaka Jolie Jolie mamiii
Huyu shemeji ni nanii?Aaaa
Bro kuwa makini