Hii ni special kwa zile couple za JF

Mh nilichogundua humu Jf nitadoda kwa hii ID yangu maana sijawahi kuulizwa la heri wala la shari,Wadada wa humu mnapenda majina ya kizungu zungu au Kiarabu Arabu ila haya ya kwetu mh naona unaweza kuta mpaka Yesu anarudi bado hujaibuka na na kitu,Ngoja nitafute na mm hayo majina mnayoyapenda ili twende sawa aisee.
 
Jina lako mkuu umejitabiria vibaya mwenyewe
 
me na cute love jamani

cute wangu usijar badae nakuungia bando la jf la sh 7800 kwa mwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…