Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,155
- 34,303
1.Heaven Sent
2.Mzigua90
3.Sakayo
4.Neybright
5.Sky Eclat
Mr Miller banawote hao?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1.Heaven Sent
2.Mzigua90
3.Sakayo
4.Neybright
5.Sky Eclat
Safi ndugu yangu, kwemaNaaam chief. Habari yako chief
Kwema kabisa kiongozi.Safi ndugu yangu, kwema
ndio [emoji4]Mr Miller banawote hao?
hahaha one lady at a time eeh!Haha.
Basi sawa.
Jina lako mkuu umejitabiria vibaya mwenyeweMh nilichogundua humu Jf nitadoda kwa hii ID yangu maana sijawahi kuulizwa la heri wala la shari,Wadada wa humu mnapenda majina ya kizungu zungu au Kiarabu Arabu ila haya ya kwetu mh naona unaweza kuta mpaka Yesu anarudi bado hujaibuka na na kitu,Ngoja nitafute na mm hayo majina mnayoyapenda ili twende sawa aisee.
Jina lako mkuu umejitabiria vibaya mwenyewe
Sijaamini nimepitia uzi wote hakuna hata aliyenitaja daaah