Hii ni special kwa zile couple za JF

Hii ni special kwa zile couple za JF

Heheheh,......wakutoka Gabs anaweza kutuelewa, usijali umbali....
ila nikuhakikishie tu.. huo ukaka unaotaka kunipa ushindwe nao.

dada nilionao hapa wamenitosha sasa nahitaji cheo kingine.
 
Utachukua muda sana Kufa, nipe mda.
 
kiongozi nawe una approach! unaonaje tukipeana muda ili tusimchoshe.

mmmh....
Umejuaje kama anachoka?! Kama vipi kaa kushoto usinirushie ndege wangu,wewe kwenye comment yako [HASHTAG]#111[/HASHTAG] si umesema unao wengi? Au nyie ndio waharibifu wenyewe? Nyie ndio kina hit & run sio?
teh! teh!
 
duuh wanaume tukitongoza tunauza sera zetu kiongozi sasa unaona unanifanyia mazuri kweli kucriticize tongozo langu?
 
Back
Top Bottom