Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Khaaaaa!!...Bibi huzeeki tu jamani?!
Karibu sana,unayo nafasi ndani ya nafsi yangu,njoo tubebe box huku,teh! teh!Kwa mikono miwili zimepokelewa.....shukran.
Nakusubiri wewe tuzeeke woteKhaaaaa!!...Bibi huzeeki tu jamani?!
Nani mlete huyo wa kutoka huko utakuwa umefupisha umbali.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kilio chako cha kuanzishiwa thirendi kimesikilizwa mkuu au bado?[emoji53][emoji53][emoji53]
Karibu sana,unayo nafasi ndani ya nafsi yangu,njoo tubebe box huku,teh! teh!
Sasa mkuu mkono kupapasa chura tepetepe na kupapasa kimbaombao kigumu huwa unapata rahaa wakati gani?[emoji53][emoji53][emoji53]Hayo ni matamanio ya macho
ila nikuhakikishie tu.. huo ukaka unaotaka kunipa ushindwe nao.Heheheh,......wakutoka Gabs anaweza kutuelewa, usijali umbali....
Kama kuzichanga nilishazichanga kitambo sana,Asante, zichange kwanza, uje kunichukua likizo.
ila nikuhakikishie tu.. huo ukaka unaotaka kunipa ushindwe nao.
dada nilionao hapa wamenitosha sasa nahitaji cheo kingine.
Nasikia sasa hivi unamtaka Maxence Melo![emoji124][emoji124][emoji124]Nakusubiri wewe tuzeeke wote
Kama kuzichanga nilishazichanga kitambo sana,
Kilichobaki natafuta tu wakuzitumia nae.
Ahahaha kumbe unasikia? Behaviourist me nakutaka weyeNasikia sasa hivi unamtaka Maxence Melo![emoji124][emoji124][emoji124]
kiongozi nawe una approach! unaonaje tukipeana muda ili tusimchoshe.Kama kuzichanga nilishazichanga kitambo sana,
Kilichobaki natafuta tu wakuzitumia nae.
mmmh....Utachukua muda sana Kufa, nipe mda.
Umejuaje kama anachoka?! Kama vipi kaa kushoto usinirushie ndege wangu,wewe kwenye comment yako [HASHTAG]#111[/HASHTAG] si umesema unao wengi? Au nyie ndio waharibifu wenyewe? Nyie ndio kina hit & run sio?kiongozi nawe una approach! unaonaje tukipeana muda ili tusimchoshe.
mmmh....
Madam chura ipo?Ahahaha kumbe unasikia? Behaviourist me nakutaka weye
Naona umekubali, nashukuru sana bror.kiongozi nawe una approach! unaonaje tukipeana muda ili tusimchoshe.
mmmh....
Yuko bwawani hukoMadam chura ipo?
duuh wanaume tukitongoza tunauza sera zetu kiongozi sasa unaona unanifanyia mazuri kweli kucriticize tongozo langu?Umejuaje kama anachoka?! Kama vipi kaa kushoto usinirushie ndege wangu,wewe kwenye comment yako [HASHTAG]#111[/HASHTAG] si umesema unao wengi? Au nyie ndio waharibifu wenyewe? Nyie ndio kina hit & run sio?
teh! teh!
Naona umekubali, nashukuru sana Love.