[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nami nitakutenda kama ulivyokiri.... na nami nitakusaidia kutumikia kifungo.
hukumu yako: utaambatana nami nami nitaambatana nawe hadi mmoja atakapovutwa na mwenye enzi.
ney usiharibu basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo hukumu hakimu nimekukubali aiseeh
Mwache Neybright anaweza kunisaidia kukata rufaa...ney usiharibu basi
Embu niambie kwanini umejipendelea kiasi hicho?ney usiharibu basi
Kabisa mamiiMwache Neybright anaweza kunisaidia kukata rufaa...
Rufaa ya nini.. ulishaskia wapi rufaa ikawa na rufaa. lilishaisha hilo.Mwache Neybright anaweza kunisaidia kukata rufaa...
kwani wewe unamwonaje bbade hadi nishindwe kujipendelea?Embu niambie kwanini umejipendelea kiasi hicho?
Tutaipeleka Mahakama Kuu labda kule. ..nitapewa unafuu wa kifungo...Kabisa mamii
Ujue naitafakari hii hukumu mara mbilimbili [emoji26]
Imebidi tuipeleke Juu zaidi,Rufaa ya nini.. ulishaskia wapi rufaa ikawa na rufaa. lilishaisha hilo.
sijui unanitakia nini wewe hili tulishalimaliza tupo kwenye kifungo ujue.Imebidi tuipeleke Juu zaidi,
Au ukubali nafasi yako ya awali....tuzimishe kesi usiku huu
Kumbe tulishaanza kifungo?sijui unanitakia nini wewe hili tulishalimaliza tupo kwenye kifungo ujue.
Kwanini unajipendelea dadaako?kwani wewe unamwonaje bbade hadi nishindwe kujipendelea?
Itabidi nikusindikizeTutaipeleka Mahakama Kuu labda kule. ..nitapewa unafuu wa kifungo...
[emoji6]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imebidi tuipeleke Juu zaidi,
Au ukubali nafasi yako ya awali....tuzimishe kesi usiku huu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijui unanitakia nini wewe hili tulishalimaliza tupo kwenye kifungo ujue.
Karibu, vichwa 2 bora zaidi ya kimoja. ...Itabidi nikusindikize
huo wenyewe si ndio mzuri nikija tunakuwa wawili.Kumbe tulishaanza kifungo?
Mbona niko mwenyewe huku sasa?
chimbo ndio wapi braza?[emoji3]Umeingia chimbo sio broh
siyo dada yangu hata nusu... mfungwa mwenzangu huyo.Kwanini unajipendelea dadaako?
karibu nyumbani shemeji [emoji3]Embu mshangae na wewe......
Hakimu anasaidia kutumikia Hukumu.....
Kumbe!!!!