amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
Hizo ndo mbaya sana mnakuwa weeengi mmpengwa, inatakiwa iwe kama nyie bwana mtu akienda kwa smart anajijua kabisa yeye ni side chick
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23] ni sehemu ya maisha
Wrong time ago
Hapo kabaki mahondaw na smart wengine WASHAACHANA [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Hahaha nyingi hapo changamsha genge tu
Mbona mi na G hujaniweka [emoji6]inabdi uapdate sikubali aki
Hahaahaha sijui hata nilisahau vipi
Mzee baba umebadili ID?
Hazard [emoji23][emoji23][emoji3]
Nlikuwa najiuliza huyu mwamba yukwapi?
Unanfitini wee
Sasa wew si unaifichaficha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wachawi wengi ukianika zaid unachukiwa kweli maneno hayaishii nakuambia bora kukaa kimyaa
Wachawi wanakuwa wanasema mtaachana tu
Nasema hiv haachwi mtu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenzio upendo ukiisha atatumia hata wangu [emoji23][emoji23][emoji23]