Hii ni Special mnoo...Hongera sana Mrembo!!

Hii ni Special mnoo...Hongera sana Mrembo!!

hahahahahhahaha Aiseeee, umenitoa kapa hapo bhana

mie nakubali tu sina namna maana naweza changanya madafu hapa

BTW huyo kiwatengu ni nani kwako hadi umshikie bango hivyo?
Means hunijui? Kwa hiyo haujakaguliwa wewe...
 
Back
Top Bottom