3 36must Member Joined Sep 17, 2022 Posts 62 Reaction score 120 Oct 6, 2026 #1 Game ya UEFA baina ya France vs Belgium, coach wa France Zinedine Zidane amefanya super subs ya kibabe kabisa, baada ya kuwa nyuma kwa goal moja kwa bila, hadi alipofanya mabadiliko kwenye dakika ya 62, akaiua match kabisa. Attachments IMG-20261006-WA1652.jpg 402.7 KB · Views: 12
Game ya UEFA baina ya France vs Belgium, coach wa France Zinedine Zidane amefanya super subs ya kibabe kabisa, baada ya kuwa nyuma kwa goal moja kwa bila, hadi alipofanya mabadiliko kwenye dakika ya 62, akaiua match kabisa.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Oct 6, 2026 #2 Inasikitisha sana
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Oct 6, 2026 #3 Liverscore kwangu haifunguki, n wote ama?
mwaibile JF-Expert Member Joined Nov 16, 2022 Posts 2,136 Reaction score 5,175 Oct 6, 2026 #4 The legend
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 24,239 Reaction score 43,082 Oct 6, 2026 #5 Mbaga Jr said: Liverscore kwangu haifunguki, n wote ama? Click to expand... Nadhani kuna hiyo changamoto. Hata kwangu pia ni siku kadhaa sasa.
Mbaga Jr said: Liverscore kwangu haifunguki, n wote ama? Click to expand... Nadhani kuna hiyo changamoto. Hata kwangu pia ni siku kadhaa sasa.