Hii ni Taifa Stars iliyoifunga Zambia kuingia African Cup (Tumemkumbuka Peter Tino, tumemsahau Thuwein Ally)

Hii ni Taifa Stars iliyoifunga Zambia kuingia African Cup (Tumemkumbuka Peter Tino, tumemsahau Thuwein Ally)

Du,ahsante sana kwa kumbukizi nzuri na murua,wakati huo wengine hapa hata kuzaliwa ILIKWA BADO kabisa.

Sent from Nokia 7 Plus
 
Aliyekuwa anakimbia na kuuacha mpira nyuma alikuwa ni winga Sunday Juma wa Simba. Kajole alikuwa na sifa ya kupiga kona inaingia golini yenyewe, tena kwa mguu wa kushoto.
Mpe jina lake la undava aliitwa machela mguu wake mmoja ulikuwa mnene kuliko mwingine ila mabeki wale magangwe mipira ya siku hizi wangekuwa wanakula nyekundu kila mechi
 
Godfrey (ucar)chitalu alikuwa khatari kweli wenyewe wazambia wakidai mwaka wa 1972 pekee alitupia kambani goli 100 baadae alikuja kuwa mkufunzi wa kk eleven mpaka umauti ukamkuta pwani ile ya Gabon akiwa na kikosi hicho kilicho sheheni dhahabu kama Eston mulenga webby chikabala. numba mwila. John soko,witson changwe, kelvin mutale alikuwa bwana mdogo tu akiwa na miaka 19
 
Back
Top Bottom