Why not transition peripheral? Kizungu Kwanza Kiswahili baadae, huu ndio ukoloni mambosasaSiyo tatizo lugha sababu limeshirikisha mataifa mbalimbali sema kulitakiwa kuwe na mkalimani. Over
Kama unajua wanakotaka kwenda ngoja tusubiri sisi wadanganyika!Mkutano wa kinafki.
TBC anatafri vizuri tu,watu huzama ITV tuSiyo tatizo lugha sababu limeshirikisha mataifa mbalimbali sema kulitakiwa kuwe na mkalimani. Over
Kuna wadau kutoka nje wako online wanashiriki kongamano, alikuwa mwanadiplomasia mzuriSiyo tatizo lugha sababu limeshirikisha mataifa mbalimbali sema kulitakiwa kuwe na mkalimani. Over
Kabisa mkuuKuna wadau kutoka nje wako online wanashiriki kongamano, alikuwa mwanadiplomasia mzuri
Kipindi ha JPM na Kiswahili chake akanangwa kwamba hajui kiingereza...!! Pamoja na yote ila kuthamini cha kwako ndio uungwana.Nimesikiliza tangu mwanzo kumbukumbu ya Hayati Benjamin William Mkapa. Hii ni Tanzania ya waswahili. Unaandaaje kumbukumbu kama hii na kuiendesha kwa lugha ya kingereza? HAPANA.
Waandaaji wa matukio kama haya kama wa leo UONGOZI INSTITUTE ni vema wakajua kila waandaacho ni kwa ajili ya watanzania na lugha yao ni KISWAHILI.
Asante sana Mhe. Hussein Ally Hassan Mwinyi Rais wa SMZ na baadae Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa JMT kwa kuhutubia hadhara hii kwa lugha ya Taifa Kiswahili.
hata mimi siwezi kuangalia takataka TBC bora nizime kabisa tvTBC anatafri vizuri tu,watu huzama ITV tu