Hii ni timu bora ya wakati wote, nipinge kwa hoja

Barca hii haikuwa bora kuliko iliyompiga madrid 5-0 au iliyomtetemesha ferguson
Mpira waliocheza usiku wa hizo 5-0 unasemwa hakuna timu yoyote duniani iliyoweza kucheza hivyo.

Kabla ya hapo inatajwa Brazil ya 1970.
Na usiku mwingine wa fainali na Man u walioshinda 3-1.

Barca hiyo haiwezi tena kutokea. Ninayo video ya 5-0 dhidi ya Madrid huiangalia mara kwa mara.

Nakubaliana na mleta Mada
 
Hujaongea kwa hoja Halafu unataka ujibiwe kwa hoja..Umeongea kwa picha tu
 
Watoto wa juzi juzi mna shida sana, hii ndio timu bora iliyofikia highest peak kiasi kwamba kilichokuwa kinasubiriwa msimu unaofuata wa 2006/7 ilikuwa ni kushuka kiwango tu. Unaanzaje kumuacha deco, marques, gaucho at his best.. Henry alifika barca ikiwa imeshuka
 
Mnataka kumpinga bure mleta mada.. Leta takwimu ya barca hiyo na barca hii ya guardiola.
 
Hamna kitu hapo mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…