Hii ni timu bora ya wakati wote, nipinge kwa hoja

Hii ni timu bora ya wakati wote, nipinge kwa hoja

Kwangu mie the best ever team ni hiyo hiyo barcelona ila ya 2010-2011 ambayo mbele iliku na starting eleven hii....
Vidal
Alves pique mascherano abidal
Busquet
Iniesta Xavi
Messi Villa Pedro


barca hii hata fergusson aliivulia kofia...
 
Watoto wa juzi juzi mna shida sana, hii ndio timu bora iliyofikia highest peak kiasi kwamba kilichokuwa kinasubiriwa msimu unaofuata wa 2006/7 ilikuwa ni kushuka kiwango tu. Unaanzaje kumuacha deco, marques, gaucho at his best.. Henry alifika barca ikiwa imeshukaView attachment 1800616

IMG_6108.jpg

Weka na Ballon D'or hapo.
 
Back
Top Bottom