Hii Ni Zaidi Ya Mvurugo Plz Pitia Tafadhali,,,

Hii Ni Zaidi Ya Mvurugo Plz Pitia Tafadhali,,,

vickboy.com

Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
85
Reaction score
23
Hivi Karibun Wizara Ya Elimu Ilitoa Tanganzo La Kujiunga Na Mafunzo Ya Ualimu Stashahada(mafunzo Maalum) But Wametoa Majina Ya Chuo Cha Monduli Tu Wakati Vyuo Vilikuwa Vingi Tu Na Walisema Uchague Vyuo Vitano Ukianza Na Unachokipenda, Au Hiyo Bridging Ni Kitu Nyingine,.
 
Hiyo inahusu watu ambao walishamaliza bridging course na sasa ndo wameitwa vyuoni.
 
Back
Top Bottom