Itakuwa pratical paper zinavuja, ndio maana anaona ni zaidi ya nyingine. Elimu ya Tanzania ni kwikwi siku chache kabla ya mtihani wa kuhitimu utaona mnafundisha pratical amabazo utakutana nazo kwenye mtihani. Nimesoma masomo ya sayansi advance na nina ushaidi. Kweli kwa hali hiyo tutafika? te te te Mungu nisaidie mwanangu hasisome Tanzania.