ndio swali la msingi la kujiuliza, kwa hili hawana mpango hata kidogoo!!, nahic watoto wao hawana aja na post.Wale wanaojiita wadau waelimu mbona siwaoni kwenye inshu hii, au mbaka matokeo yawe mabovu ndio wanakimbilia kulaumu?
vijana tuliomaliza kidato cha nne mwaka 2012, tumekuwa kama specimen kwa ajili ya majaribio ya wizara ya elimu, hili swala la kutotolewa selections mpaka sasa hivi, linatuumiza sana hasa kwa wale tusio na uwezo wa kumudu gharama za shule binafsi, ningeomba hawa watu wa wizara wajaribu kuangalia athari zilizopo huku mtaani hasa kwa mtu asiye na kazi yoyote ile, ni mwezi wa 9 sasa toka tumalize shule.
Pia hawa watu wanaojihita wadau wa elimu wasisubiri matokeo mabaya, ndio walalamike, wajaribu kuangalia na hili swala.
Hivi huyu Mulugo na Kawambwa wanasubiri nn mpaka sasa hapo wizarani? Watanzania tatizo sisi tuna ubinafsi uliotukuka thus why tunashindwa hata kuwasaidia wadogo zetu kuwasemea eti kisa tayar tumevuka hiyo stage waliyonayo,
Wako wapi Hakielimu, mhe. James Mbatia au ni unafiki wa kuuza sura tu ili waonekane wanajali elimu?
Au elimu ni kutetea maslahi ya walimu tu na kupinga matokeo mabovu?
Madogo msikate tamaa ninyi ndio taifa la leo, Mkija kwenda vyuon msije mkasahau kuiadabisha vikali hii serikali sikivu kwa uzembe huu kwenye elimu wanaoufanya.
we kilaza uliyechora zombie wakagrade upya ukapata 3 ya mwisho unasemaje?
Tangia lini bangi ikaongea..
never chatter na kucreate matokeo ya watu usowajua we nzio wana vyeti vinang'ara na credits za mzumbe
kaka credt za mzumbe o_level unajisifu na wenye Phd zao za UD wasemeje naona imekugusa vp jamaa shemeji yako nn mpaka umjibie.

Dah! utabaki kusema wenzio twapeta
kilaza..
tazama Acsee 2013 results S1199/0519 uone mimi na wewe nan anapeta ulikuwa na div.4 ukapata div.3 walipo regrade weka index# tuone kama hauna dv.3 ya kupewa
shule znafunguliwa tareh 8 juma3 mpaka sekunde hii hamna k2.