Hii ni zaidi ya TOO MUCH sasa tunahitaji selections

Hii ni zaidi ya TOO MUCH sasa tunahitaji selections

Wale wanaojiita wadau waelimu mbona siwaoni kwenye inshu hii, au mbaka matokeo yawe mabovu ndio wanakimbilia kulaumu?
 
Wale wanaojiita wadau waelimu mbona siwaoni kwenye inshu hii, au mbaka matokeo yawe mabovu ndio wanakimbilia kulaumu?
ndio swali la msingi la kujiuliza, kwa hili hawana mpango hata kidogoo!!, nahic watoto wao hawana aja na post.
 
kiukweli inakera sana kuona mpaka leo wadogo zetu wanazurura mtaani wakisubr post.
 
vijana tuliomaliza kidato cha nne mwaka 2012, tumekuwa kama specimen kwa ajili ya majaribio ya wizara ya elimu, hili swala la kutotolewa selections mpaka sasa hivi, linatuumiza sana hasa kwa wale tusio na uwezo wa kumudu gharama za shule binafsi, ningeomba hawa watu wa wizara wajaribu kuangalia athari zilizopo huku mtaani hasa kwa mtu asiye na kazi yoyote ile, ni mwezi wa 9 sasa toka tumalize shule.
Pia hawa watu wanaojihita wadau wa elimu wasisubiri matokeo mabaya, ndio walalamike, wajaribu kuangalia na hili swala.

mna haraka ya nini form five january
 
Hivi huyu Mulugo na Kawambwa wanasubiri nn mpaka sasa hapo wizarani? Watanzania tatizo sisi tuna ubinafsi uliotukuka thus why tunashindwa hata kuwasaidia wadogo zetu kuwasemea eti kisa tayar tumevuka hiyo stage waliyonayo,

Wako wapi Hakielimu, mhe. James Mbatia au ni unafiki wa kuuza sura tu ili waonekane wanajali elimu?

Au elimu ni kutetea maslahi ya walimu tu na kupinga matokeo mabovu?

Madogo msikate tamaa ninyi ndio taifa la leo, Mkija kwenda vyuon msije mkasahau kuiadabisha vikali hii serikali sikivu kwa uzembe huu kwenye elimu wanaoufanya.
 
Shukrani sana kwa kutambua hilo, ur the great thinker.
 
never chatter na kucreate matokeo ya watu usowajua we nzio wana vyeti vinang'ara na credits za mzumbe

kaka credt za mzumbe o_level unajisifu na wenye Phd zao za UD wasemeje naona imekugusa vp jamaa shemeji yako nn mpaka umjibie.
 
Mtafuteni kwa PM Mkuu the choosen awape habari za kutoka jikoni. Poleni sana wanangu!
 
Last edited by a moderator:
vijana tuliomaliza kidato cha nne mwaka 2012, tumekuwa kama specimen kwa ajili ya majaribio ya wizara ya elimu, hili swala la kutotolewa selections mpaka sasa hivi, linatuumiza sana hasa kwa wale tusio na uwezo wa kumudu gharama za shule binafsi, ningeomba hawa watu wa wizara wajaribu kuangalia athari zilizopo huku mtaani hasa kwa mtu asiye na kazi yoyote ile, ni mwezi wa 9 sasa toka tumalize shule.
Pia hawa watu wanaojihita wadau wa elimu wasisubiri matokeo mabaya, ndio walalamike, wajaribu kuangalia na hili swala.

Nyie ndo wale mlopata sifuri asilimi zaidi ya 50% mnataka mselectiwe muende wapi? Au mnaharaka ya kwenda five na six mkatage tena masifuri! Huo mda mmepewa mjipange vizuri..,sioni kwa nini unalia lia hapa,huo mda tumia soma tuition (kama unajua waenda soma nini five na six) .Mda wa five na six ni mchache saana..so dogo,instead of kulia hapa,nenda tuition maliza sylabus ya five na six..! Wakikuita hata mwaka 2014 uko fiti..!!
 
kilaza..
tazama Acsee 2013 results S1199/0519 uone mimi na wewe nan anapeta ulikuwa na div.4 ukapata div.3 walipo regrade weka index# tuone kama hauna dv.3 ya kupewa

we mtoto div 2 pts 11....ndo unaona umefaulu...kwel elimu ya bongo imeshuka nakumbuka kpnd hcho 2005 nimemalza Ilboru form 6...vlaza ndo walikuwa wanapata 1 za 9 au 8 lakn cku hz eti mtu akpata hvo ndo jembe.....watu majina yetu yaliwekewa rangi uliza
 
Dah, hawatutendei haki kabxa.. Ati kuna tetesi kwamba ma_headmaster walgoma kwenda kupanga selections kwa madai kwamba hawayatambui matokeo mapya, ndo Necta ikabd waingilie kat na kuforce shughuri ifanyke.. Dah wanaboa.
 
Back
Top Bottom