Hii nimeshindwa kabisa, nipeni maujanja!!!!

BIG X

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2011
Posts
777
Reaction score
212
Kukata GoGo mbele ya mke wangu.

Wife wangu hana shida kabisa anaweza kukata GoGo mbele yangu, Labda mi nipo bafuni au napiga mswaki yeye hana shida anakata GoGo lake mi nampita hapo hata hafungagi mlango.

Tatizo mi hajawahi kuniona hata siku moja tangu tufunge ndoa miaka 6 iliyopita, na amekuwa akiniuliza kwanini namuonea aibu, mwanzoni nilidhani utani lakini sasa ameshikilia bango kwanini namuogopa au sijiamini kukata GoGo mbele yake. Sasa jamani mi siwezi kabisa nahisi kama GoGo halitatoka, yani mtu unakata GoGo halafu mtu akuangalie mi siwezi. Imenibidi niwe nabadilisha ratiba niwe nakata GoGo ofisini ili asinishike, lakini najua ipo siku nitazidiwa nikiwa home, nimekuwa nikimkwepakwepa kiutani lakini namuona mwenzangu yupo serious, ameshanipa na maneno kwamba siku nikiumwa nani atanitawaza kama sio yeye, na madongo mengine kibao ambayo naona yana ukweli. Lakini Jamani siwezi, sina confo kabisa.

sioni namna ya kutoka hapa. Vipi we unaweza kukata GoGo mbele ya mkeo/mumeo!!!.
 

hahahahahahhah.... aiseee kazi ipo
 
Dah, Hii Kali, ninavyojua mimi kuoga pamoja poa lakini kukata gogo mimi binafsi pia siwezi na sioni kama ni tatizo kubwa kiasi cha kuomba ushauri.
 

vp juma pili na siku za sikukuu ambazo huendi kwa job inakuwaje mkuu?
 
Mwambie tu huwezi!The way yeye anajiskia wazi ndio the way wewe unajiskia huwezi. Kwanza mi sioni kama ni proper watu kua chooni pamoja wakati wa shughuli kama hizo...
 
kukata gogo ni starehe binafsi. si lazima ukate gogo mbele ya mtu kwasababu hata akiwepo hakusaidi kulidondosha labda kuga utasema anakusugua mgongoni n.k. mimi pia sipo tayari kukata gogo mbele ya mke wangu ndio maana hata kama chumba ni master lakini kunakuwa na mlango wa toi ya ndani.
 
Ivi iyo self caintained yenu ni ya choo cha shimo?
 
kuoga pamoja yes lakini kuingia chooni pamoja hapana asubiri nitoke aingie
 
ha ha ha ha, duh kukata gogo mbele ya mtu labda uwe unaumwa na breki za magogo zimekatika vinginevyo ni kukupasua kichwa tu.
 
kwaaa kwaaaaa kwaaaa kugoogle haaaaa nyie mnanichekesha sanaaa....duuuu mtu mzima mkiwa likizo wote itakuwaje utaenda wapi duu hata cjui nisemeje mtu wangu
 
Sipati πŸ˜›hoto:πŸ˜›hoto:πŸ˜›hoto:πŸ˜›hoto:πŸ˜›hoto:πŸ˜›hoto:πŸ˜›hoto:πŸ˜›hoto:
 
teh,teh,teh???????? kama atavumilia perfume hiyo' kwanini usimruhusu???:lol:
 
huyo wife sasa ana matatizo. hiyo kitu ni private. sasa yeye anataka kuona nini?
 
Anyway,ki uhalisia ukitoa jokes na nin...hii ni kitu personal sana, ingawa najua kwa wanandoa ishu kama hizi ni makubaliano so hakuna haja ya kufichana..mwambie ukweli juu ya hili jinci unavyojickia,utaficha mpaka lini.? Kama mkeo ni mwelewa atakuelewa tu..
 
anataka kupma huwa sura ipoje labda, ameshakuona ukiwa unalia, ukiwa unacheka bdo tu ukiwa unakun...! Mpe hak yke.
 
he he he kazi kweli kweli.........kula mayai viza halafu ukate gogo mbele yake,hiyo harufu itakayotoka hapo hatothubutu kukuchungulia tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…