Sal
JF-Expert Member
- Jan 14, 2008
- 498
- 228
mimi nadhani hii inategemea mlivyozoeshana tangu mwanzo. mie na mbabe twakata magogo kwa raha zetu hakuna wa kumwogopa mwenzie, tena tunaagana kabisa,a mlango uko wazi, hakuna anayujali. kwa vile tumezoeshana tangu mwanzo haimpi shida na mimi hainipi shida. mweleze tu kua kwa sasa umzima hivyo kukata gogo wakati anakuona wewe binafsi huwezi. Ila siku ukiumwa, mambo yote yataji set yenyewe, maana kuumwa na maswala mengine. nina hakika atakuelewa.