kweli kakata ggo mbele ya m2 aliyeyoyote yule kama hujazoea inahitaj moyo sana
Mi kukata gogo mbele ya wife sioni tatizo, tatizo ni kukojoa akiwa amenisaidia kushika mashine! Lol! Yaani akinishikia mkojo hautoki kabisa!
Mwambie tu huwezi!The way yeye anajiskia wazi ndio the way wewe unajiskia huwezi. Kwanza mi sioni kama ni proper watu kua chooni pamoja wakati wa shughuli kama hizo...