DASA JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 1,031 Reaction score 302 Dec 15, 2011 #81 Duh!!! Hii ni bongonyongo........... Kazi kweli kweli!!!
Jimmy Romio JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 367 Reaction score 278 Dec 15, 2011 #82 Unakunja mno sura ndo maana! na vichozi juu
P Pungubern Member Joined Jul 16, 2011 Posts 23 Reaction score 3 Dec 15, 2011 #83 BIG X said: Anachong'ang'ania ni kwamba bora nimzoee tu mana siku nikiumwa lazima ni yeye tu atakayenisaidia, sasa ni bora tuzoeane kabisa kwenye hilo. Click to expand... Analake jambo huyo. Kwanini aipende ile harufu??? Angalia asije akasaidiwa na watu wengine.
BIG X said: Anachong'ang'ania ni kwamba bora nimzoee tu mana siku nikiumwa lazima ni yeye tu atakayenisaidia, sasa ni bora tuzoeane kabisa kwenye hilo. Click to expand... Analake jambo huyo. Kwanini aipende ile harufu??? Angalia asije akasaidiwa na watu wengine.
Riwa Platinum Member Joined Oct 11, 2007 Posts 2,607 Reaction score 3,079 Dec 16, 2011 #84 BIG X said: Sasa jamani mi siwezi kabisa nahisi kama GoGo halitatoka, yani mtu unakata GoGo halafu mtu akuangalie mi siwezi.!!!. Click to expand... Hujawahi kushikwa na 'uharo' wewe...halafu ukakimbilia chooni ukakuta kuna mtu!
BIG X said: Sasa jamani mi siwezi kabisa nahisi kama GoGo halitatoka, yani mtu unakata GoGo halafu mtu akuangalie mi siwezi.!!!. Click to expand... Hujawahi kushikwa na 'uharo' wewe...halafu ukakimbilia chooni ukakuta kuna mtu!