Hii No reforms no election siokwa CHADEMA wala CUF Bali ni kwa ajili ya kesho iliyo bora kwa Watanzania

Hii No reforms no election siokwa CHADEMA wala CUF Bali ni kwa ajili ya kesho iliyo bora kwa Watanzania

B-2 STEALTH BOMBER

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2024
Posts
4,640
Reaction score
6,422
Hatupigi kura.

Nasema tena hatupigi kura..

Oiii wazee miaka 60 ya uhuru hata mmeshindwa kulinda rasilimali na kutupea manouver ya kutukomboa na kipindupindu, Umaskini, malaria na ujinga.

Kila siku wale wale ndio hukamata hatamu na keki ya taifa tumechoka.

Watoto wa maskini hawnaa kazi ila vibabu vina rudishwa kazini.

Aliimba solo thang nyimbo yake akaipa jina la MISS TANZANIA. katika lugha ya kifasihi alichana sana na kuelezea namna Tanzania inavyo liwa. nakupenda ila haujatulia miss Tanzania

Hakuna kupiga kura hata.

DEni lina someka je hapo wakuu
Hii NO REFORMS NO ELECTION.
SIO kwa chadema wala CUF Bali ni kwa ajili ya kesho iliyo bora kwa watanzania hususani Watanganyika.
1000212623.jpg
Nyie watoto wa chuo mnatumika vibaya saaana imagine mnakuwa vichawa hapo vyuoni kwa ahadi fake acha mmalize vyuo mje mtaani kuuza ice cream

Kataa wahuni wao wanateuana wale wale nyie mnaishia kulishwa vumbi la V8

WE NEED REFORMS FOR THE BETTERMENT OF THIS COUNTRY
NAIPENDA TANGANYIKA ZAIDI YA KITU CHOCHOTE DUNIANI.
 
Habari Wana jf, msaada mwenye kufahamu hili Kuna jamaa yangu simu yake inaingiliana baadhi ya vitu na mke wake mfano kwenye phone book jamaa akisave no. ya simu kwenye simu yake mke wake naye kwenye cm yake inatokea, pili kwenye upande wa facebook jamaa akitumia fb mfano kuchat messenger mkewe nae anazipata zote msg so hajui apo amehackiwa au inakuaje pia solution inaweza kuwa ni nini...Asanteni
 
Back
Top Bottom