Hivi bado zina ile milio ya zamani?
Nokia alishaachana na windows, yupo na android.Bado humo pia wamekomaa na window? Au wamesilimu kwa android?
Hizo concept tu hakuna simu kama hiyoMbona hakuna hata model? Au concept tu?
Concept phones za artists zinakuwaga kali kwa mwonyekana wa 3d rendering ila inakuwwa sio kweli
kwani hupendi salamu mkuu...😂😂Tatizo hawabadiliki. Hivi bado wanasalimiana wakati wa kuwasha?
The Nokia P1 Ultra 2025 5G is a smartphone that uses the Qualcomm Snapdragon 8 Gen 2 chipset. It also has 16 GB of RAM and a 7300 mAh battery.Mbona hakuna hata model? Au concept tu?
The Nokia P1 Ultra 2025 5G is a smartphone that uses the Qualcomm Snapdragon 8 Gen 2 chipset. It also has 16 GB of RAM and a 7300 mAh battery.Just a concept