Hii noma

Hii noma

Karot

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2017
Posts
1,159
Reaction score
1,313
*Jamaaa mmoja kakodi taxi akawa anatembea katika jiji mara kapita* *gest moja akamuona mkewe anaingia gest* ```jaamaa akamwambia dereva simama,...
akamuulizaje```?
*unataka laki tatu za chap chap ?? dereva akajibu ndio .Jamaaa akamwambia nenda mule gest kamtoe mke wangu picha yake hii hapa, tena uwe unampiga mateke, vichwa, makofi uje nae hapa, dereva akaingia gest kutoka anatoka na mwanamke mwengine na kichapo kinaendelea, jamaaa kaduwaa na kusema we vipi mbona sie huyo mke wangu?? Dereva akajibu huyu mke wangu subiri nitaenda kumtoa na wakwako pia[emoji38][emoji1][emoji2][emoji1][emoji23][emoji1][emoji28][emoji28]*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: SJJ
Back
Top Bottom