Ukishindwa kuwashawishi wachanganye!maana yake ni kwamba ushawishi wako unapogonga mwamba kwakuwa wako pamoja , unachofanya ni kukubaliana nao kisha unawageuka hapo watachanganyikiwa kwakuwa hawajui sasa msimamo wako halisi ni upi...na kati yao kuna watakaokuunga mkono na wengine wakikupinga