Ferruccio Lamborghini
JF-Expert Member
- Apr 15, 2020
- 1,667
- 2,595
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani sanaNdivyo ilivyo, dini ni hitaji la nafsi kiroho.
Dini ndio muongozo sahihi wa utu wa mtu kabla ya kuwaangalia wengine wanaamini katika nini.
Hapo naona ameongelea Mambo mbali mbali kwa concise words (maneno machache lakini yenye maana pana kidogo.“The very purpose of religion is to control yourself, not to criticise others.”
— Dalai Lama XIV
View attachment 1999966
Shukrani sana mzee babaHapo naona ameongelea Mambo mbali mbali kwa concise words (maneno machache lakini yenye maana pana kidogo.
Self-control, yaani kusudio la dini ni kumfanya binadamu awe na kiasi katika mambo yake anayotenda, ambayo hii itamsaidia kutojiletea madhara ya kiroho. Unajua maovu yana madhara makubwa ya kiroho na maovu ni kama mbegu ikishaota rohoni mwako ndiyo tabia za uovu zinakuwa zimeshaota mizizi kwa hiyo ni ngumu na inapelekea uangamifu wa mtu mwenyewe.
Kwa hiyo kusudio la dini ni kumjenga binadamu awe kiumbe wa kiasi.
Criticizing hapa anazungumzia kwamba hata kama utakuwa na self control usiwakosoe ama kupoint mapungufu yao. Kwa point kubwa ya dini siyo kukosoa wengine bali kuwajenga na kuwarekebisha nao waweze kuwa na kiasi katika matendo yao.
Kwa maneno mengine ana maana unaweza umefanikiwa kiimani lakini kujiona mkamilifu ikawa ni kasoro yako itayokupoteza. Kwa kuwaona wasifuata imani ama mafundisho ya dini siyo wakamilifu.
Pamoja mkuuShukrani sana mzee baba