johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
AmenMtafuteni BWANA, maadamu anapatikana, Mwiteni, maadamu yupo karibu
Hata mimi huwa nawaza sn anawafanyeje?Hivi huyu Mwamposa anawafanyeje hawa wamama na mabinti hapa Dar yaani wanampenda kweli aisee
Ni mtume na mtumishi wa Mungu lazma nyomi liwe kubwaHawa wote wakimpokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wao basi Dar es Salaam Imepona.
Nawatakia Mwaka Mpya Wenye Baraka.
Kazi Iendelee kwa kasi ya Mbape!
Sikio la kufaa….Ni mtume na mtumishi wa Mungu lazma nyomi liwe kubwa
Watu kweli wanapokea na kufanikiwa ndo maana Kuna nyomi la watu.Sikio la kufaa….
Kenge hasikii adi sikio litoke damu…
….Hzi nyakati za mwisho,
A man become what he thinks about…Watu kweli wanapokea na kufanikiwa ndo maana Kuna nyomi la watu.
Hakika Mungu ni mwema
Ni mtume na mtumishi wa Mungu lazma nyomi liwe kubwa
Ya Moshi ilikuwa moja ya masharti ya kuinuliwaHivi huyu Mwamposa anawafanyeje hawa wamama na mabinti hapa Dar yaani wanampenda kweli aisee
Wote hao ni wajinga tu hawajitambui kabisa. Brain washed.Hivi huyu Mwamposa anawafanyeje hawa wamama na mabinti hapa Dar yaani wanampenda kweli aisee
Anawatapeli kweupe kabisa.Hawa wote wakimpokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wao basi Dar es Salaam Imepona.
Nawatakia Mwaka Mpya Wenye Baraka.
Kazi Iendelee kwa kasi ya Mbape!
Kuna mradi fulani nimeuanzisha umetetereka kidogo sasa kademu kangu kamoja kafuasi ka Mwamposa kananiambia ningekuwa naenda naye kwa Mwamposa mradi ungekua umesimamaWote hao ni wajinga tu hawajitambui kabisa. Brain washed.
Hata mi Nina kimradi changu cha shamba kuna mpuuzi mmoja ananiambia ili nifanikiwe nikachukue udongo ulioombewa na mwamposa nije kuumwaga shambani anasema Kama siwezi kufika nimuagize hata yeye ataenda kunichukulia. ...ni mtu niliyekuwa namheshimu ila now namuona kama mdudu tuKuna mradi fulani nimeuanzisha umetetereka kidogo sasa kademu kangu kamoja kafuasi ka Mwamposa kananiambia ningekuwa naenda naye kwa Mwamposa mradi ungekua umesimama
Nilikaa kimya sikumjibu chochote nikaona kweli yule jamaa kawabrain wash kweli kweli mi nasemaga kawaroga