Hii nyomi ya Mwamposa hapa Kawe naifananisha na ile ya Lowasa wa CHADEMA 2015!

Hii nyomi ya Mwamposa hapa Kawe naifananisha na ile ya Lowasa wa CHADEMA 2015!

Hata mi Nina kimradi changu cha shamba kuna mpuuzi mmoja ananiambia ili nifanikiwe nikachukue udongo ulioombewa na mwamposa nije kuumwaga shambani anasema Kama siwezi kufika nimuagize hata yeye ataenda kunichukulia. ...ni mtu niliyekuwa namheshimu ila now namuona kama mdudu tu
Ukiwa mfuasi wa yule jamaa yaani unakuwa hautumii akili kila kitu unawaza kitafanikiwa kwa miujiza tu kitu ambacho si kweli
 
Back
Top Bottom