Hata mi Nina kimradi changu cha shamba kuna mpuuzi mmoja ananiambia ili nifanikiwe nikachukue udongo ulioombewa na mwamposa nije kuumwaga shambani anasema Kama siwezi kufika nimuagize hata yeye ataenda kunichukulia. ...ni mtu niliyekuwa namheshimu ila now namuona kama mdudu tu