Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Kwema Wakuu!
Nimetulia zangu na-enjoy zangu, Kwa Raha zangu naburudika na Mashindano ya Olimpiki Paris 2024 yanayofanyika huko Ufaransa.
Nafurahi zangu lakini ghafla nagundua kuna Jambo halipo Sawa hapa. Kila Mashindano ñàona Hakuna weñye umri kama wàngu. Jàmani! Jàmani!
Nikabadili zangu channel niangalie upande Mwingine nako naona wanamichezo wengi wanamiaka 22-27.
Weñye thelasini kwenda juu ni nadra Sana.
Furaha yangu ikayeyuka.
Nimeamua kucheza zangu game tuu.
Hii inamaanisha nini?
Sisi tushaingia kwèñye uzee au vipi?
Mashindano haya yanaubaguzi. Lakini wewe tulia tuu
Nduki🏃🏃