Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Inategemea unatazama mchezo upi, lakini kuna michezo mingi ambayo umri wa washiriki ni 30+
😜😜😜😜 imelala na hizo hizo mangi .
Ndio hivyo boss , mimi nimeamua kupotezea umri yani sijui hata nina umri gani kwa sasa 😂Hawa wôte NI wadogo zangu
Wako rika zote, kuogelea wapo wa kuanzia miaka 16, shabaha za risasi wapo hadi miaka 50+.
So rika zote wapo
Hiyo Mbinu itabidi niitumie sina namnaNdio hivyo boss , mimi nimeamua kupotezea umri yani sijui hata nina umri gani kwa sasa 😂
Ulengaji shabaha tujikite HukoMichezo yenye watu above 30 ni michache.
Leo Hapa NI wakata Upepo, waendesha baiskeli, waogeleaji Jana usiku Napo wamenikatisha tamaa
Yes, kwa ujumla umri wa washiriki wengi upo kati ya miaka 20 hadi 30 hapo...
Ingawaje wapo kadhaa kama Shelly-Ann, Jose Talou, Shericka, Mujinga hawa wote ni wanakimbia mita 100 wanawake na ni top perfomers na mdogo kuliko wote ana 30 hapo...
Kuna michezo kama fencing, rowing, basketball, equestrian, decathlon etc
Wazazi wanazika watotoda rika hili hili ndo litakalo beba mwili wako
Miaka 30 -35 kwenye siasa unaitwa kijana
Mimi huwa nafanya hivi
Kila umri unapoenda huwa naangalia eneo ambalo ntaitwa kijana
Sasa hivi nimeacha mpira nimeingi katika siasa huku siasani ukiwa na 30s unaitwa kijana mdogo
Achana na olympic,ukitaka kujua umezeeka,sema miaka 30 iliyopita,akili yako itakwambia ni miamka ya 70😁😁,kumbe ni miaka ya 90 hapo zamani za kale.
😂😂
Umenifurahisha Sana
Ukifika 50 unaingia kwèñye mfanyabiashara Mkubwa kijana