Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Tumesikia operation( Operesheni) nyingi lakini hii ilikuwa kiboko.
Sikuwahi kusikia hii Operation, nyinyi wenzangu mliisikia? Au ni uongo wa hawa waandishi wa kuokoteza habari vichochoroni?
Sawa tumeona Operesheni kama
1. Operesheni Ukuta
2. Operation Sangara
3. Operation Baracuda
4. Operation Mporogomwi Out
5. Movement for Change
Hii Operation Kata Funua inasaundi kama Hamasa fulani ya Kizalendo sana.