Hii pesa thamani yake bei gani in Tz?

Watanzania tunavyojifanya tuna haraka km pesa zingekuwa zinatangulia kutoka wengi wetu tungekuwa tunasahau kadi kwenye mashine ...maana wengine wakishaona pesa tu akili hupagawa.
 
Mbona mikono yako ina magamba kama nyoka? Nenda google usitusumbue sisi hapa!!
Mkuu we utakuwa mwanaume wa dar, unataka mikono iwe laini kwani mi mwanamke,,,,,kwaio mikono yako ni kama ya dadako pole sana mkuu
 
Ni sawa na dola billion kadhaa za zimbabwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…