Hii Picha ilipigwaje - Vantage Point ni Ipi?

Nadhani nimegundua Rashford ana kichwa kidogo; Pili amelala slant kidogo kwahio ile view yake kuendelea kuonyesha udogo wake pili comparison imefanyika na mwingine mwenye kichwa kikubwa kwa kuangalia side view ambayo huwa ni kubwa kuliko front view ya kichwa (kwahio front view ya mmoja mwenye kichwa kidogo imekuwa compared na side view ya mwingine ambayo huwa ni kubwa)
 
Usichanganyikiwe mkuu huyu mpiga picha ametumia "wide angle lens" ndio inafanya kazi hiyo ni sanaa kama sanaa zingine.. relax
Kwanini itumike hapa kwenye hii picha husika.... (what's the advantage) ?

Kwahio nearest distance ya photographer ilikuwa wapi au hii wide angle lens inafanya vitu vya mbali kuwa karibu zaidi ?..., Ndio maana swali langu linakuja na narudia vantage point ni ipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…