Hii picha imenifanya nifikirie sana, Mbowe hawezi kushinda kirahisi

Hii picha imenifanya nifikirie sana, Mbowe hawezi kushinda kirahisi

Annunaki

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2021
Posts
2,042
Reaction score
3,674
Nimekutana na hii picha, imenifanya nitafakari sana. Ngoja tuone.

Huyu mbowe hawezi kushinda kirahisi labda system iingilie kati kwa nguvu zote.


1000270641.jpg


Pia nikakumbuka na thread ya Pascal Mayala

Thread 'Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA' Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA
 
Back
Top Bottom