A Annunaki JF-Expert Member Joined Dec 30, 2021 Posts 2,042 Reaction score 3,674 Jan 20, 2025 #1 Nimekutana na hii picha, imenifanya nitafakari sana. Ngoja tuone. Huyu mbowe hawezi kushinda kirahisi labda system iingilie kati kwa nguvu zote. Pia nikakumbuka na thread ya Pascal Mayala Thread 'Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA' Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA
Nimekutana na hii picha, imenifanya nitafakari sana. Ngoja tuone. Huyu mbowe hawezi kushinda kirahisi labda system iingilie kati kwa nguvu zote. Pia nikakumbuka na thread ya Pascal Mayala Thread 'Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA' Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA
E Earthmover JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 24,977 Reaction score 23,799 Jan 20, 2025 #2 Mpaka sasa huja soma tu code....Kesho nchi INALIPUKA kwa SHANGWE....
A Annunaki JF-Expert Member Joined Dec 30, 2021 Posts 2,042 Reaction score 3,674 Jan 20, 2025 Thread starter #3 Earthmover said: Mpaka sasa huja soma tu code....Kesho nchi INALIPUKA kwa SHANGWE.... Click to expand... Ngoja tuone Thread 'Je, Tundu Lissu anazo sifa za kuwa Rais wa Tanzania?' Je, Tundu Lissu anazo sifa za kuwa Rais wa Tanzania?
Earthmover said: Mpaka sasa huja soma tu code....Kesho nchi INALIPUKA kwa SHANGWE.... Click to expand... Ngoja tuone Thread 'Je, Tundu Lissu anazo sifa za kuwa Rais wa Tanzania?' Je, Tundu Lissu anazo sifa za kuwa Rais wa Tanzania?
Auto-Marvelt JF-Expert Member Joined Jul 13, 2019 Posts 1,653 Reaction score 3,336 Jan 20, 2025 #5 Lissu akipigwa chini lazima pachangamke halafu asepe zake nje